Waziri Kigwangalla amkingia kifua Mchekeshaji Idris Sultan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kumtaka Mchekeshaji, Idris Sultan kufika katika kituo chochote cha polisi kilichopo karibu naye baada ya kufanyia ‘photoshop’ picha zake na kuweka kichwa cha Rais John Magufuli .

Hatimae Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangala ameonesha kushangazwa na kitendo cha msanii huyo kuitwa polisi kwa kusema kuwa Rais Magufuli ni mtu wa watu na kwamba Idriss anafahamika kuwa sanaa yake ni ya uchekeshaji.

“Nimeambiwa kuna msanii wa vichekesho anatafutwa na polisi, akikamatwa mniambie, nitajitolea mwanasheria wa kwenda kumuwekea dhamana na kumtetea. Rais wetu ni mtu wa watu na imejidhihirisha kwa jinsi wananchi walivyojitolea kumuombea dua siku ya kuzaliwa kwake! Wameonesha upendo,” ameandika Kigwangala.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tena baba masifa unapenda kujipendekeza katafute kazi mbn vimbelembele hivo jamani hata rahisi Magufuli alisema wacha kujipendekeza wewe bwana hicho cheo ni kikubwa kwa akili yako hapana unafaa hee mlinzi

    ReplyDelete

Top Post Ad