AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe azidi kushikilia bango sakata la kuibiwa kwa kompyuta katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga huku akidai mbona kimya hawatoi taarifa tangu jana.
Zitto ambaye ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa sio kawaida yao kukaa kimya huku akionyeshea video ambayo yupo Rais John Magufuli.
Aliandika ujumbe huu ” Press release ya DPP bado tu? Mbona kimya tangu jana. Sio kawaida yenu. Mtujuze Watanzania ni haki yetu..,? Aliandika Zitto
Press release ya DPP bado tu? Mbona kimya tangu Jana. Sio kawaida yenu. Mtujuze watanzania ni haki yetu .... https://t.co/RMk1WwU5YF— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) October 18, 2019
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
INAKUHUSU, MDANDIA MADA.
ReplyDeleteIKARUS KUMBAKUMBA IMERITHIWA NA MWENDOKASI AAU WEWE NI WA DMT..?