Baridi Kali Yasababisha Safari za Ndege Kufutwa Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Majimbo ya magharibi na kati ya nchini Marekani yameanza kupata athari za hali ya hewa ya baridi kali.

Mamlaka zimefahamisha kwamba katika majimbo ya Michigan na Kansas ajali za barabarani zilisababishwa na barafu na hali ya hewa ya ubaridi zimesababisha vifo vya watu 4 akiwamo mtoto mmoja.

Kutokana na kunyesha kwa barafu takribani safari za ndege 1200 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa  O’Hare uliopo katika mji wa Chicago jimbo la Illinois zilifutwa.

Kutokana na barafu zilizokuwapo katika uwanja wa ndege wa O’Hare, ndege moja iliacha njia, hakuna alijyejeruhiwa miongoni mwa abiria 41 waliokuwamo kwenye nege hiyo.

Mamlaka za hali ya hewa zimefahamisha kwamba barafu itaendelea kunyesha katika majimbo ya Indiana, Michaigan na Vermont.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad