Bodi ya Wakurugenzi Simba yamteua Mwina Kaduguda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Klabu ya soka ya Simba imemteua Mwina Kaduguda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu. Kaduguda anachukua nafasi hiyo kufuatia aliyekuwa Mwenyekiti Swedi Mkwabi kujiuzulu.

Kwa mujibu wa taarifa ya Simba iliyotolewa leo Novemba 20, 2019, imeeleza kuwa uteuzi wa Kaduguda ambaye pia amewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, umeanza jana Novemba 19, 2019.

Kwa upande mwingine Simba imemteua Salum Muhene kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo ambayo Mwenyekiti wa Bodi ni Mohammed Dewji.

#MICHEZO Klabu ya soka ya Simba imemteua Mwina Kaduguda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu. Kaduguda anachukua nafasi hiyo kufuatia aliyekuwa Mwenyekiti Swedi Mkwabi kujiuzulu. pic.twitter.com/PdetPolKS9

— East Africa TV (@eastafricatv) November 20, 2019

Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa Bodi ya Wakurugenzi itatangaza tarehe ya uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa klabu hapo baadaye.
MOST POPULAR

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad