Jafo ataja mikoa 3 kutofanya uchaguzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo, amesema kuwa takribani mikoa mitatu haitoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika kesho Novemba 24, 2019, baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa.

Waziri Jafo ameyasema hayo leo Novemba 23, 2019, Jijini Dodoma, wakati akitangaza muda rasmi wa uchaguzi huo kuanza, ambapo amesema zoezi la upigaji wa kura litaanza rasmi saa 2:00 asubuhi na kuhitimishwa saa 10:00 jioni.

"Leo ndio siku ya mwisho ya kampeni, niwaombe wananchi kujitokeza na kupiga kura lengo ni kushiriki vyema na kuwachagua viongozi kwa mstakabari wa maendeleo yao, uchaguzi huu utaendelea nchini kote isipokuwa kwenye mikoa mitatu ambayo vyama mbalimbali wagombea wake wamepita bila kupingwa ambayo ni Tanga, Katavi na Ruvuma" amesema Waziri Jafo.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad