RC Makonda ataja mambo yanayomnyima usingizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam, Paul Makonda leo November 23 amewaapisha Wajumbe Saba kati ya Nane wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba Wilaya ya Kinondoni na Temeke na kuwaagiza wajumbe hao kuhakikisha wanatumia elimu na utaalamu wao kutatua Kwa haraka tatizo la Migogoro ya Ardhi ambalo limekuwa kero kwa Wananchi.

RC Makonda amesema moja ya mambo yanayomnyima usingizi ni pale anapoona Wajane, Wazee, Yatima na Watu wasiokuwa na elimu ya kutosha wanapokonywa haki zao na “Wajanja” wenye uelewa wa Sheria ambapo amewaka wajumbe hao kutazama suala hilo kwa jicho la Tatu.

Aidha RC Makonda amewataka Wajumbe hao kuepuka tabia ya kukaa maofisini na kusubiri wananchi na badala yake watoke nje wakashugulike matatizo ya watu.

Pamoja na hayo RC Makonda amewataka wajumbe hao wahakikishe Wanatumia Hekima na Busara kumaliza migogoro pamoja na kuhakikisha Mashauri hayakai muda mrefu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad