Jerry Muro Atoa Ushuhuda wa Maisha Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amewataka vijana kujitambua na kuwapotezea wale wanaowabeza kwani ni Mungu pekee ndiye anajua hatima ya maisha ya kila mwanadamu hapa duniani.



Muro ametoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo wakati akizungumza na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini waliokusanyika katika Kongamano la Victory Campus Night 2019 lililofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar.


Muro amezungumza mengi huku akianika baadhi ya mapito na changamoto alizopitia mpaka kufika hapo alipo huku akiwataka wanafunzi hao kutokata tamaa na badala yake wasome kwa bidii na  wakimtegemea Mungu.


“Wakati nasoma pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hakuna hata mwenzangu mmoja aliyejua kama ningekuwa mwanahabari, ama ningekuja kuwa Mswmaji wa Yanga… Lakini leo mimi ni Mkuu wa Wilaya. Mungu anao uwezo wa kukuinua na kukutoa shimoni…. ”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad