Mwakinyo Avuta Gari Milimani, zoezi Lake la Mwisho kwa Mfilipino Anayedai Kapata Baraka zote za Manny Pacquiao (Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo kesho siku ya Jumatano anatarajia kukutana na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza akiwa sambamba na Mpinzani wake raia wa Ufilipino, Arnel Tinampay. Mwakinyo ameonekana akifanya mazoezi mazito yakiwa sanjari na kuvuta gari kwa kulipandisha milimani huko jijini Tanga huku mpinzani wake Tinampay akidai yupo hapa nchini akiwa na baraka zote kutoka bondia mwenye umaarufu mkubwa duniani, Manny Pacquiao.

VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad