Nora Asimulia Alivyochoma Moto Vimini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KWELI mambo hubadilika! Umemsikia mwigizaji wa kitambo kwenye tamthiliya za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’? Nora ameliambia Amani kuwa, aliwahi kuchoma nguo zote ambazo hazikuwa na maadili na za kumpendeza Mungu ikiwemo vimini.  Nora amesema, baada ya kumjua Mungu kiundani, aliamua kutoa vitu vyote alivyokuwa navyo ambavyo vilikuwa chukizo kwa dini yake ya Kiislam.

“Nilichoma mpaka nguo zangu ambazo niliona wazi nilikuwa navaa na hazikuwa sahihi kabisa kwa Mwenyezi Mungu maana sasa nimekuwa mpya na sitaki hata kukumbuka kama nilicheza filamu zisizo na maadili,” alisema Nora.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Bi. Nora tupo duniani kwa muda mfupi hivo ni vizuri tuishi na maadili mazuri ya Kidini and Kia-Africa

    ReplyDelete

Top Post Ad