Chemical asisitiza kujioa mwenyewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


RAPA matata Bongo, Claudia Lubalo ‘Chemical’ amesema kuwa ahadi yake aliyojiwekea ya kujioa ipo palepale na anaweza kujioa hata mara kumi.

Akizungumza na Showbiz Xtra, Chemical alisema kuwa hakuna kitu kilicho na thamani kama kujioa na kujimiliki mwenyewe maana utajijali na kujiangalia zaidi mwenyewe na wala siyo jicho la mtu mwingine.

“Mimi bado nasimama na maamuzi yangu ya kujioa  mwenyewe, yaani naweza kufanya hivyo mara kumi na wala nisihitaji mtu pembeni. Mimi mwenyewe kwanza mgumu, nani wa kuumiza mtima wangu? Hakuna kabisa, nitajioa mwenyewe,” alisema Chemical.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad