'Tutaongeza watoto tukitajirika' - Nahreel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wasanii na wapenzi wanaounda kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel,  wamesema wanatamani kupata watoto wengi zaidi kadri ya ambavyo, kipato chao kitakavyoongezeka na kwamba hawataki kuleta kiumbe duniani ili kiteseke.


Wakizungumza na EATV & EA Radio Digital, wawili hao wamesema wapo tayari kupata watoto wengi ila itategemea na ambavyo watafanikiwa katika maisha, ambapo kwa sasa watoto walio nao wanaweza kuwahudumia na kuwapa maisha mazuri.

"Tuna mipango ya kuwa na watoto wengi zaidi, kadri ya uwezo wetu wa kipato utakavyokuwa, unajua siku hizi mtoto naye anakuja na mipango kwahiyo lazima uangalie upo na nafasi gani katika maisha ili usije ukaleta kiumbe duniani halafu kikaja kupata shida" amesema Nahreel.

Aika na Nahreel, wamekuwa kwa pamoja kwa kipindi cha miaka 10 sasa na wamebarikiwa kupata watoto wawili wa kiume, ambao wanajulikana kwa majina ya Gold na Jamaika.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad