Mama aliyevunjwa mkono kuchangiwa fedha mbele ya Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais John Magufuli alipowaamuru viongozi watendaji wa Kahama kumchangia mama aliyekuwa akitwanga kokoto kisha kuvunjwa mkono na mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina la Daudi ambaye alimpiga na kumvunja mkono huku vyombo vya ulinzi na usalama vikishindwa kumchukulia hatua na kumsaidia.

Rais Magufuli amesema amefanya hivyo ili viongozi hao wajifunze kushughulikia malalamiko ya wananchi badala ya kumsubiri yeye barabarani.

Kila kiongozi mtendaji aliamuriwa kumchangia shilingi 50,000 na kufanikiwa kupata shilingi 500,000 papo hapo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad