Utabiri wa Hali ya Hewa Hatarishi wa Siku Tano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imetoa utabiri wa hali ya hewa iliyouita ni Hatarishi kwa Siku Tano ikionesha mikoa itakayoathirika zaidi ni iliyo katika Ukanda wa Pwani

TMA imetoa angalizo la mvua kubwa siku ya Novemba 06, kwa baadhi ya mikoa ya Pwani na Ukanda wa Kaskazini katika mikoa ya Pwani, Dar na Tanga pamoja na Visiwa vya Pemba na Unguja

Aidha, hakuna tahadhari iliyotolewa katika siku za Novemba 07 na Novemba 08 ingawa Novemba 09 kumetolewa angalizo la mvua kubwa katika maeneo ya mikoa ya Morogoro, Lindi, Mtwara, Pwani, Dar, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

Hata hivyo, Mamlaka imebainisha kuwa uwezekano wa kutokea kwa utabiri huu ni wa Wastani na Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni cha Wastani

Ikibainisha athari zinazoweza kutokea imesema ni pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji, ucheleweshwaji wa usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za Kijamii na Kiuchumi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad