Atiwa Mbaroni Kwa Kutaka Kuchonga Jina Lake Kwenye Paji la uso la Demu Wake Kwa Kutumia Kisu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jamaa pichani kwa jina la Jackub Jackson(19) amedakwa na police huko Texas, Marekani kwa kumnyanyasa demu wake huyo kwa jina la Catalina Mireles(22), kumpiga hadi kumvunja taya, jicho kuwa jeusi -

Wawili hao walikutana Facebook na kuanza kuwa wapenzi ambapo wiki nne tu tangu wajuane penzi lao likawa hoi kwa vipigo anavyopokea mdada huyo. Pia Jamaa alitaka kumfungia demu kabatini hadi atakapojua nini amfanye mrembo huyo ambapo Hata hivyo police waliwahi jamaa amedakwa kwa kwenda mbali kuchukua kisu kuanza kulichonga jina lake Kwenye paji la uso la mrembo huyo

Hata hivyo, imebainika jamaa alikuwa na kesi nyingine tofauti Kwa mtu mwingine na alikuwa nje Kwa dhamana Ya dola $75,000 zaidi ya million 172 za Kibongo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad