Ndege ya Jeshi Yapotea Angani Baada ya Kuruka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndege ya kijeshi ya Chile ikiwa na watu 38 ikielekea katika kambi ya jeshi iliyopo Antarctica katika kisiwa cha King George imeripotiwa kupotea baada ya kupoteza mawasiliano saa moja baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Punta Arena.

Miongoni mwa waliotoweka na ndege hiyo ni wafanyakazi 17 na abiria 21 ambao walikuwa wakisafiri ili kutoa usaidizi wa kimipango.

Wanaanga wa Chile wamesema kwamba operesheni ya usakaji na uokoaji inaendelea ili kuiokoa ndege hiyo pamoja na abiria wake.

Kitengo cha habari cha EFE kimeripoti kwamba watatu kati ya abiria hao ni raia.

Rais wa Chile Sebastian Pinera amesema katika ujumbe wa Twitter kwamba amefadhaishwa na kutoweka kwa ndege hiyo na kwamba anachunguza hali katika kambi ya wanahewa ya Cerrillos katika mji mkuu wa Santiago.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad