'Pogba Hakuna Kuondoka Man United'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kocha Ole Gunnar Solskjaer amesema kwamba kiungo Paul Pogba hatoondoka Manchester United mwezi Januari 2020.

Pogba amecheza mechi 6 tu msimu huu mpaka sasa katika kikosi cha Man United tangu alipoumia kifundo cha mguu mwezi Septemba  mwaka huu.

Pogba amekuwa akihusishwa na kuhamia Real Madrid lakini Ole amesisitiza kwamba kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa atabaki Old Trafford msimu huu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad