Jela Miaka 15 kwa Kuchoma Bendera ya ‘Mashoga’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


JAJI mmoja nchini Marekani amemuhukumu kifungo cha zaidi ya miaka 15 jela mwanamume mmoja aitwaye Adolfo Martinez (30) aliyeiba bendera inayowakilisha wapenzi wa jinsia moja (mashoga) kutoka katika Kanisa lao na kuichoma moto nje ya kilabu ya wasichana wanaocheza wakiwa uchi.



Martinez amefanyiwa mahojiano na vyombo vya habari akiwa jela, na kukubali kwamba alichukua bendera hiyo katika Kanisa la Ames United Church of Christ kwa sababu ya chuki aliyo nayo dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.




Mwezi uliopita, Martinez alikutwa alitiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu unaosababishwa na chuki, unyanyasaji na utumiaji mbaya wa silaha pamoja na kurejelelea kutenda makosa.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad