AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Tumesimamia haki ya huyo Binti aliyebakwa na Baba yake mzazi, Binti anasoma darasa la nne, pia kuna Babu kamlawiti Mjukuu wake, Ijumaa iliyopita Kituo Cha Polisi Kisarawe limefunguliwa shauri baada ya ustawi wa jamii kuripoti Binti kabakwa na kupewa mimba na Mchungaji wa kanisa liko nje ya Kisarawe”- DC JOKATE
”Hivyo kwa Mwaka huu kupitia Mahakama yetu ya Wilaya Kisarawe tumehukumu Watu wanane waliobaka, Miaka 30 kila mmoja na Watu wawili waliowapa Mabinti mimba miaka 30 kila mmoja, nipongeze Mahakama, kitengo chetu cha ustawi wa jamii, Polisi na Afisa Eimu Msingi/Sekondari”-DC JOKATE
“December 10,2019 kupitia Dawati la Jinsia na Watoto Kisarawe kwa uratibu wa OCD Eva tumezindua Mpango Mkakati wa Kudhibiti Ukatili Wa Kijinsia Wilaya ya Kisarawe 2020 unaojumuisha kutoa Elimu, kushirikisha Jamii kusimamia hili na kuhamasisha utoaji taarifa kwa wakati”-DC JOKATE
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ubakaji unashamiri kutokana na tabia za wanawake kupenda wanaume wenye hela, wenye magari na kazi nzuri hivyo kufanya wale wanaume wasio na kitu kukosa watu wa kuwaliwaza ijapokuwa kuna wengine ni wababa wenye familia zao lakini kutokana na ushetani walionao wanadiriki kubaka watoto hivyo sababu zinazochangia ubakaji zipo nyingi sana.
ReplyDeleteHao waliohukumiwa miaka 30 wanatakiwa wachapwe viboko 30 kila mmoja yaani kila mwezi anachapwa viboko saba.
ReplyDelete