Watu 27 Wakamatwa Kwa Pamoja China Wakisafirisha Dawa za Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Washukiwa 27 nchini China wamekamatwa na maafisa wa polisi leo Alhamisi katika uwanja wa ndege wa Gansu wakiwa na dawa za kulevya.

Watu hao wamekamwatwa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika operesheni kuu inayowalenga wasafirishaji wa dawa za kulevya kupitia njia za anga.

Kwa mujibu wa polisi operesheni hiyo imefanikiwa sana kukomesha usafirishaji wa dawa za kulevya katika mipaka mitano nchini humo. Wakati wa operesheni hii, maafisa wa polisi wamekamata takriban kilo 15.5 za dawa za kulevya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad