Wini Ajibu Madai ya Kuishi na Mwanaume Dubai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii Wini amekanusha taarifa za kupelekwa na kuishi na mwanaume Dubai na kusema alikuwa na issue zake binafsi za kimuziki, licha ya kukaa huko kwa muda mrefu.


Akizungumza na EATV & EA Radio Digital,  Wini amesema wanawake wanaweza bila ya mwanaume na Dubai alikuwa anafanya muziki wa live hotelini na alipata uzoefu mkubwa.

"Nilikuwa Dubai nafanya muziki wa Live band kwenye hoteli, nafikiri nilipata uzoefu mkubwa sana, mimi nataka niwatoe watu fikra potofu kwamba wanawake tunaweza bila hata ya mwanaume na mwanaume atakuwa ni ziada tu" amesema Wini.

Aidha Wini ameongeza kuwa "Mimi ikitokea kuwa kwenye mahusiano ni baadae maana sasa hivi sipo huko, mwanaume wangu akinipa zawadi hata kama gari ni sawa, lakini atanikuta tayari nimejijenga hivyo ndivyo mwanamke yeyote anatakiwa kuwa, kwahiyo watu wabadilishe akili zao, kwamba sisi hatuwezi kumiliki vitu mpaka mwanaume atupe".
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad