Je, Unadhani ni Kwanini Wanaume Wengi Hawawaridhishi Wanawake wao Katika Mapenzi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Je, unadhani ni kwanini wanaume wengi wamekuwa wakishindwa kuwaridhisha wanawake wao katika mapenzi?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shida nyingi""" wanakuwa awajajiandaa vzr kwa ajili ya matatizo kwenye ubongo wao!!! Wanawaza hela ya kodi! Luku" Ada shuleni' matumizi ya hapa na pale!!! So Hilo tendo linafanywa tu ili mradi kama jogoo na mtetea!!!! Ndo maana wadada wengi Ni single kwa sana!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haaaa ha ha!!!!!' ekele Uwiii!!! Ujakosea mdau!!! Ndoa nyingi Chali!!! Wengine wanaishi kisanii Uko ndani baba room Yake na mama room Yake !!!! No Love jamani! Bora ubaki na Yesu!!!!

      Delete
    2. mm nahs vyakula 2navyokula ndo vina2punguza nguvu na hamu ya kutofanya mapenzi

      Delete
    3. We tumia vumbi uone km hajaomba poo!

      Delete
  2. Wewe kula matango maparachichi matikiti maji na mixture dawa ya kimasai hlf usiwe na stress then kamatia papuchi ya mtoto uone km atochanganykiwa mpk kuomba poo

    ReplyDelete
  3. Tatizo mkubwa stress zinaumiza wanaume wng so km unastress huwez kufnya mapenz kwa ufanisi ht km unanguvu za kiume

    ReplyDelete
  4. Stress.napia wapunguze foleni mana kuduu nawanawake wengi nako ni tatizo

    ReplyDelete
  5. Stress;ndo inaumiza;huwezi kufanya tendo kiufasaha kama kuna mambo mengi unawaza!wanawake ni lazima wajue hili

    ReplyDelete
  6. Okey mimi nakubaliana na malaya wezangu mawazo waliyotoa lkn kweli mambo mengi s sikuhizi yanachangia mara mshahara hujapata,mara unamkopo benk ,sasa uta du nini? Unaluka kamoja tu unafikiria madeni ya watu hapo biashara imekwisha kwakweli mawazo yanachangia maisha yenyewe tunaunga unga sana

    ReplyDelete
  7. hahahaha mbavu cna, ni kwel mdau wa hapo juuu bak na yesu, mawazo chungu nzima ah! mara oh mara ah, bak na yesu tu.

    ReplyDelete
  8. uvivu tu,ubrazameni kibaooooo mawazo kwan ugumu wa maisha kwako tu????mbona wengine wanachapa shooo safiiii

    ReplyDelete

Top Post Ad