Yanga yabadili gia angani sio Aussems tena, Chuma hichi cha Hispania kutua Jangwani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mabingwa wa kihistoria ligi kuu soka Tanzania Bara, Young Africans inaonekana kama vile imebadili gia angani, badala ya kumchukua Patrick Aussems kama Kocha wake Mkuu sasa imehamishia majeshi yake pale Hispania na kuchomoka na jina la Angel Perez Lopez mzaliwa wa jiji la Madrid Aprili 5, 1983.



Hivi karibuni kuliibuka kwa tetesi za Wanajangwani hao kutaka kumpatia kandarasi aliyekuwa kocha wa mahasimu wao Simba SC lakini lakini wanaonekana kuachana naye na sasa kuhamia kwa Angel Perez Lopez.

Kwa Perez huwenda wakawa wamelamba dume hasa kutokana na historia yake kuwa nzuri kwani aliwahi kuwa Kocha Msaidizi wa timu ya Getafe inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania mwaka 2007 hadi 2013 huku 2013 mpaka 2014 aliifundisha timu ya Petrolul.

Lopez amefundisha pia Recreativo Huelva ya Hispania, Al Shabab FC, Guanzhou, na  Petrolul Plolesti.

Timu yake ya mwisho kufundisha ni timu ya Taifa ya Equatorial Guinea mwaka huu, ambapo pia kwa mujibu wa chanzo chetu amepata kufundisha timu mbalimbali.

Ila mpaka sasa hizi ni tetesi tu na kikubwa ni kwamba mashabiki na wadau wa soka wanangoja kwa hamu kujua Yanga watamtangaza kocha gani atakaye rithi mikoba ya Zahera jumla jumla.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad