Mwandishi Bollen Ngetti Adaiwa Kutekwa na Wasiojulikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwandishi wa habari za uchunguzi, Bollen Ngetti,  anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi uliopita leo Jumatatu, Desemba 23, 2019, maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam.

 

Tukio hili limetokea ikiwa ni siku nne tu tangu Ofisa wa Program na Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti, adaiwe kutekwa na watu wasiojulikana na  baadaye jeshi la polisi likathibitisha kumshikilia kwa mahojiano.

 

Inasemekana  watu waliomteka Ngetti wametokomea naye kusikojulikana. Tunaendelea kufuatilia ukweli wa taarifa hizi na tutawajuza kadri tutakavyopata taarifa zaidi.

 





----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad