Aslay Amkataa Tessy Chocolate "Haiwezekani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kupitia kipindi cha Friday Night Live "FNL" ya East Africa Tv kinachoruka kila siku ya ijumaa kuanzia 9:00 kamili usiku, msanii Aslay  amefunguka uwezekano wa kurudiana mzazi mwenzie aitwaye Tessy Chocolate, pamoja na malezi ya mtoto wao.


Akizungumzia uwezekano wa  kurudiana na mama wa mtoto wake huyo Aslay amesema kuwa,
"Hakuna kitu kama hicho na haiwezekani, kila mtu ameshaondoka kivyake na kuangalia maisha yake, kikubwa ni mtoto wetu akue tumuombe maisha mema kilichobaki ni kuheshimiana tu sasa hivi, Mimi mwanangu muda ambao hayuko shule huwaga nipo naye sana" ameeleza

Aidha Aslay ameendelea kusema
"Mwanangu akiniambia akitaka kuimba ni sawa tu, mtu afanye kile anachokiona kiko sawa kikubwa kisimuharibie kwenye maisha, pia mwanangu yupo kwenye video yangu ya moyo kiburi" ameongeza

Msanii huyo ameachia Extended Player ambayo ina nyimbo 9, ila mwenyewe amesema kati ya nyimbo zote hizo anazozikubali na anazozitegemea ni tatu tu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad