Whozu Ajibu Mapigo Kwa Tunda, Atoa Kubwa Kuliko "Simpendi Tena"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Baada ya kuwepo na taarifa za kuachana na mpenzi wake ambaye ni video vixen Tunda, msanii Whozu amesema hatamani kusikia chocote kuhusu Tunda, pia hampendi tena kilichobaki ni kumheshimu tu.



Whozu amesema hayo kupitia show ya "Friday Night Live" ya East Africa TV, kinachoruka siku ya Ijumaa kuanzia 9:00 kamili hadi 5:00 usiku, baada ya kuulizwa kinachoendelea kwa sasa kati yake na Tunda.

"Wao ndiyo wananiuliza kuhusu Tunda, mimi sitakagi kuongelea vitu hivyo, hata awepo na m-South Africa atajua mwenyewe, simpendi tena  namuheshimu tu, yeye yupo kwenye hizo kazi zake anazozifanya na huyo mtu wa Nigeria nafikiri watu wataelewa tu nini namaanisha, ila tupo poa tu hakuna kitu kinacholeta tofauti" ameeleza Whozu

Wiki iliyopita Tunda alimpost mwanaume mwingine kwenye mtandao wa Instagram aitwaye Otike ambaye ni raia wa Nigeria, kisha akaweka alama ya upendo na kuandika "povu ruksa".

Penzi la Whozu na Tunda limedumu kwa muda wa mwaka mmoja na miezi kadhaa, pia ndiyo mwanaume ambaye amekaa naye kwa muda mrefu kwenye historia ya watu aliokuwa nao kwenye mahusiano.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad