Daimond: Nimeenda kwenye tuzo nyingi sana ila tuzo za CAF ni ya kipekee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii Daimond platinum amerejea nchini na kufunguka show yake aliyoifanya katika tuzo za CAF ambazo zilifanyika nchini misri ikiwa kwake ni mara ya pili na kusema kuwa ilikuwa nzuri kwakuwa waandaaji walijipanga.

Akifanyiwa mahojiano na wasafi media amesema kuwa yeye ndo msanii pekee toka Afrika ambaye alipata nafasi za kualikwa na kufanya show katika tuzo hizo na kusema kuwa  kati ya show zake zote hii ndo alilipwa vizuri.

''Kiukweli Nimefanya Show Nyingi na Malipo ya Show Hii ya CAF Nililipwa Vizuri sio Uongo na
nimehudhuria Tuzo nyingi sana Duniani, lakini tuzo za CAF Kiukweli Jamaa Walijipanga sanaaaaa kwasababu walikuwa na maandalizi ya Hali ya juu'' alisema Daimond.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atamaliza kila neno, ila Hbaba kamtoa nishai.

    ReplyDelete

Top Post Ad