Hivi Mtu Unakuwaje Shabiki wa Hamisa Mobeto au Wema Sepetu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mimi nashangaa sana, hivi mtu unaanzaje kuwa fan wa mtu kama Hamisa Mobeto au Wema Sepetu?

Watu wenyewe hawajulkani hata wanafanya kazi gani kuendesha maisha yao. Wao kazi yao kubwa ni ku-edit photos mpaka zinapoteza uhalisia na kuziweka Insta.

Sio hawa wawili tu, yaani wale wadada wote wa aina kama ya hawa wawili.

Kuliko kuwa fan wa watu kama hawa si bora uwe fan hata wa fridge, uhifadhi vyakula visiharibike
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umekulupuka kuandka bro. Kwani umesahau kwamb tz ni nchi ya uhuru na umoja? Acha watu wapende wanachotaka

    ReplyDelete
  2. unataka wauze uchi ili uwaandike. kama huna cha kufanya kachane nguo zako, stupid

    ReplyDelete

Top Post Ad