Kauli ya Simbachawene Baada ya Kuapishwa Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Mambo ya Ndani  George Simbachawene ameahidi kushirikiana na viongozi wengine kuleta matokeo chanya yanayotarajiwa na Watanzania

Simbachawene ameapishwa leo Jumatatu Januari 27, 2020 Ikulu, Dar es Salaam baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli kuongoza wizara hiyo akichukua nafasi ya Kangi Lugola ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Simbachawene amesema ataviheshimu vyombo vya usalama kufanya kazi yake huku yeye akishughulika na mambo ya utawala.

“Pale ambapo vyombo vinafanya makosa kazi yangu ni kukutaarifu kwamba kuna mambo hayapo sawa, lakini mimi sina cheo chochote na wala sina nyota yoyote na hukunipa nyota hapa lao.”

“Umenipa jukumu nikusaidie katika kusimamia vyombo hivi ambavyo kwa sehemu vinafanya kazi ya ulinzi na usalama na ninatambua mimi sio amiri jeshi mkuu,” amesema Simbachawene
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad