Kisa Kukosa Kutopata MTOTO Toka Aolewe Shilole Abwatuka " Mtoto sio Mafungu ya Nyanya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki Shilole, amewataka mashabiki zake wasimpande kichwani kwa kumuuliza kwanini hapati mtoto na mumewe kwa sababu hawajui ana matatizo gani.

"Tutapata mtoto tu, halafu hayo sio mafungu ya nyanya kwamba yanawekwa tu pale, ni baraka kutoka kwa Mungu, bado siku haijafika hata mimi natamani sana kupata mtoto, naamini ataleta kheri kuhusu mashabiki zangu siwajali kwa sababu wao hawalali na mimi" amesema Shilole.

Pia Shilole ameendelea kusema
"Wao wanajua kama nina matatizo gani au walishanipeleka hospitali wakajua kama nina shida gani, kwahiyo wawe wavumilivu wasijaji maisha yangu, waangalie muziki wangu na biashara zangu mambo ya ndoa yangu na kutozaa hayawahusu nikipata waseme Inshaalah, nikikosa waseme Hewala" ameongeza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad