Polepole Amtolea Povu Zitto KABWE " CCM itashinda Hata Akizuia Wasipewe Mkopo wa ELIMU Najiuliza Watoto Wake Wanasoma Wapi?"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole  amemtolea uvuvi Zitto Kable kwa kitendo cha kuzuia fedha za elimu huku akimuambia watashinda Uchaguzi Mkuu hata akizuia fedha hizo.

Zitto ambaye  ni kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo aliandika barua za kutaka Benki ya Dunia kusitisha mkopo wa elimu baada ya kudai serikali inakiuka taratibu huku ikizui wanafunzi waliopata ujauzito wasiendelee na masomo.

Pia zitto alisema mkopo huo sio kweli ulilenga kuwanufaisha wanafunzi na kwamba ni kwa ajili ya kampeni za kisiasa.

Polepole baada ya kuona taarifa hiyo alimjibu kuwa
“Kumbe tatizo ni Uchaguzi 2020. Kabwe anaomba tunyimwe mkopo wa kuongeza udhubutu wa elimu ya watoto wetu kwa sababu anajua ni jukumu letu kujenga shule na sifa zitakuja CCM,” aliandika polepole.

Aliongezea kuwa
” Inayokwama sio CCM ni watoto wa Kigoma Ujiji. Kushinda tutashinda tu! Najiuliza watoto wake wanasoma wapi?,”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad