Thomas Ulimwengu Arejea Tena Timu ya TP Mazembe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Klabu ya soka ya TP Mazembe imetangaza kumrejesha mshambuliaji Thomas Ulimwengu kwa mkataba wa miaka miwili.


Ulimwengu amerejea Mazembe ambako aliondoka mwaka 2016 kwenda kutafuta mafanikio mengine ya soka barani Ulaya, ambapo alijiunga na klabu ya FC Athletic Eskilstuna kisha FK Sloboda Tuzla kati ya mwaka 2017-18.

Mwaka 2018 alirejea barani Afrika ambapo alijiunga na klabu ya Al Hilal of Omdurman na baadaye mwaka 2019 alijiunga na klabu ya JS Saoura ya Algeria ambapo alicheza katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kikosi hicho.

Ulimwengu anarejea kuimarisha safu ya ushambuliaji ya TP Mazembe, ambapo anatarajia kutua mjini Lubumbashi Jumatano, Januari 28 kwa ajili ya kuanza kazi rasmi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad