Diamond na Hamisa Wadaiwa Kurudiana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.

Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakimsikitikia Hamisa Mobetto kwa kitendo chake cha kurudiana na Diamond wakati alitukanwa na kudhalilishwa na familia nzima lakini anaonekana kuziba masikio na kuendelea kula bata na mzazi mwenzie

Ikumbukwe juzi ilikuwa ni uzinduzi wa mpenzi wa Diamond, Tanasha ambapo Diamond aliomba radhi kuwa amepata emergency nyumbani hivyo angeshindwa kuhudhuria event hyo ya baby mama wake.

Kama namuona Zari anavyokenua meno huko aliko. Na wewe Tanasha ndo ukome ulijua ukizaa na domo ndo atabadilika? Utaambia nini Wakenya, umebeba mimba na kuzaa umeambulia umaarufu na nyota yenyewe huna.


Basi ninavyomjua domo atafanya juu chini amvishe Pete Tanasha kumpooza.

Tanasha is so smart , beautiful and intelligent, anaweza kupata danga lolote la maana ndani na nje ya nchi kama Vannesa Mdee ila hapa kwa domo atapigwa matukio hadi arudi kwao Kenya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanasha kaingia chaka. alijiona hakuna kama yeye tz. hakutaka hata ushauri...

    ReplyDelete

Top Post Ad