AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Agnes Nelima mzaliwa wa Kijiji cha Misimo, Webuye Magharibi kaunti ya Bungoma, amerejea nyumbani baada ya miaka 24, akiwa na watoto saba kwani alitoweka kwao tangu mwaka 1996 na kuelekea nchini Uganda na mumewe.
Nelima alibaini kwamba wazazi wake na baadhi ya ndugu zake waliaga dunia kufuatia uzee na wengine waliangamizwa na magonjwa, huku Mzee wa Mtaa huo Richard Wafula, akisema kuwa licha ya kurejea nyumbani baada ya miaka mingi, hatofanyiwa tambiko lolote kwani matambiko hufanyiwa wanaume pekee.
Baadhi ya ndugu waliomuona Agnes, walishangaa kwakuwa walipoteza matumaini ya kumuona tena kwani walihisi alikwishapoteza maisha, baada ya kumsaka kwa muda mrefu bila mafanikio
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK