Hemedy "Nataka Kushughulikia vijana wa Taifa Hili"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hemedy PHD ni mmoja wa wasanii ambao ameajaliwa kuwa na watoto wengi ambao kila mmoja ana mama yake, amefunguka kusema bado ataendelea  na tabia hiyo kwa sababu mbegu yake ni adimu na yupo vizuri kuwashughulikia vijana wa taifa hili.

Akiieleza EATV & EA Radio Digital, Hemedy PHD amesema yeye bado hajaoa na hategemi kuoa siku za hivi karibuni, na mbegu yake bado ni mbichi pia anatumia "mkongo" ili kufanya shughuli hiyo.

"Bado sijaoa mbegu yangu ni mbichi natumia mkongo kila siku, tegemea watoto wengi sana hii mbegu ni adimu, sijui nitakuwa nao wangapi kwa sababu watoto ni majaliwa ya Mungu ila nina mkongo wa kutosha kuwashughulikia vijana wa taifa hili" amesema Hemedy PHD.

Msanii huyo wa filamu na muziki ameendelea kusema  "Haimaanishi ukiona mwenzako ameoa na wewe ufanye hivyo, mwisho wa siku utakuja kuchukuliwa mkeo  utakuwa umeolea watu wengine, bora uchukue muda wa kuchagua mwanamke atakayekufaa na kukuelewa wewe" ameongeza
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We vp Emedi. Tausi Si tiyari.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado Dora... Ulisha mwambia nasikia bado anafikiria.

      Usilazie Damu Emedi.

      Delete
  2. Na mbuta Nanga. Siku ile iliishaje

    ReplyDelete

Top Post Ad