Mdude: Hatuwezi Kufundishwa Upinzani na Mwambe na Sumaye Ambao Walikosa Uvumilivu CCM ikawakata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanaharaka Nyagali Mdude maarufu kwa jina la Mdude Chadema amesema hawawezi kufundishwa namna ya kuendesha vyama vyao vya upinzani na akina Cecil Mwambe na Frederick Sumaye.

“Akina Mwambe na Sumaye ambao walikosa uvumilivu baada ya kukatwa CCM wakahamia kwetu,” alisema Mdude katika ukurasa wake wa Twitter.

Alisema kama wao wanasema walikuwa nia ya dhati kujenga upinzani kwa nini wasianzishe  chama chao  badala ya kurudi CCM tamaa imewajaa.

Aliandika ujumbe huu ” Hatuwezi kufundishwa namna yankuendesha chama vyetu vyake upinzani na akina Mwambe na Sumaye ambao walikosa uvumilivu baada ya kukatwa CCM wakahamia kwetu, kama walikuwa na nia ya dhati kujenga upinzani kwa mini wasianzishe chama chao badala ya kurudi CCM? Tamaa imewajaa,” aliandika Mdude.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad