Mh. Zitto Kabwe Amuomba radhi Mh. Tundu Lissu, Alikuwa Sahii Kuomba Nguvu za Ziada Kutoka nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika hali ya kawaida kabisa na ya kiungwana Zitto amekiri kuwa Lissu alikua sahihi kuomba nguvu ya ziada kutoka nje na kwa wadau ili kuhakikisha ukomavu wa kisiasa Tanzania.

Dakika chache zilizopita Mheshimiwa Zitto amekiri kuwa hakua sahihi kwa kipindi hicho na kwamba anakubaliana na mawazo ya Mheshimiwa Tundu Lissu.

Asante Zitto asante Lissu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad