Rais Museveni Kushirikiana na Viongozi wa Dini Agundua Kulikuwa na Makosa Tarehe yake ya Kuzaliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amesema kuwa kwa usaidizi wa viongozi wa kidini nchini Humo amegundua kwamba, kulikua na makosa kwenye tarehe yake ya kuzaliwa na kwamba, hakuzaliwa 1943 kama alivyokua akiamini tangu awali bali amezaliwa mwaka 1947.

Hii itamruhusu kugombea urais mwaka 2021 maana umri wake utakuwa ni under 74 kama katiba inavyotaka mgombea urais asiwe na miaka 75.

Bunge la Uganda lilibadili katiba na kuweka ukomo wa umri wa mgombea urais uwe ni chini ya miaka 75 ili Museveni asigombee tena muhula mwingine
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad