Rwanda Yapinga Uchunguzi HURU wa Kifo cha Msanii Kizito Aliyedaiwa Kujinyonga Akiwa Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nchi hiyo imepinga shinikizo kutoka kwa mashirika ya Kutetea Haki za Binadamu ya kutaka uchunguzi huru kufanywa kuhusu kifo cha msanii maarufu wa muziki wa kiinjili, Kizito Mihigo

Kizito alikutwa amefariki katika kituo cha Polisi Jumatatu asubuhi ikiwa ni siku tatu baaada ya kukamatwa karibu na mpaka wa Burundi

Polisi wanasema walimkamata msanii huyo anayedaiwa kufa kwa kujinyonga, akiwa katika jaribio la kutoroka kwenda Burundi kujiunga na Waasi wanaopingana na Serikali ya Rwanda

Msemaji wa shirika la upelelezi la nchini humo, Marie Michelle Umuhoza amesema, "Rwanda ni nchi huru inayojitawala na ambayo ina uwezo wa kuchunguza kitu chochote."

Aidha, bila kusema uchunguzi utakamilika lini, Umuhoza amesema haoni sababu ya kufanyika uchunguzi huru ndani ya nchi huru
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad