Serikali Yasikia Kilio cha Sugu Yapiga Marufuku Kushikilia Maiti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Serikali imepiga Marufuku hospitali, vituo vya afya na zahanati zote nchini kushililia maiti kudai fedha iliyotumika katika matibabu.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa afya Dk Faustine Ndungulile wakati akiwa ziarani katika Kata ya Kileo mkoani Kilimanjaro.

Hatua hiyo ya Serikali inakuja siku chache baada ya Mbunge wa Chadema Jospeh Mbilinyi kuitaka Serikali kuacha tabia kwani si ya kibinadamu.

Sugu alisema kitendo hicho sio cha kibinadamu na ni kuwanyima haki ndugu zake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad