Steve Nyerere Afunguka Baada ya Kutangaza Kugombea Ubunge Iringa “Mimi ni Scania, Steve ni Project Kubwa Tanzania”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa filamu, Steve Nyerere amefunguka kuizungumzia post yake ya kutangaza kugombea Ubunge jimbo la Iringa mjini 2020. Mchekeshaji huyo amedai ana kila sifa ya kuweza kuiongoza Iringa kwa kuwa yeye ni kijana machachari.

“Mimi ni mwenyeji wa Iringa, nimezaliwa Iringa nimesoma Iringa, nimeona kwamba pale Iringa Mjini pana kila sababu ya kuwa kama Arusha, kama mwanza, nimeona mimi natosha kuwa Mbunge, hakuna kipengele kinachomkataza Mtu kutangaza nia , Mimi ni scania, Steve ni project kubwa Tanzania ”- Steve Nyerere
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umetisha Steve, Nasikia Mzigwa Halali
    plesha juu imempanda.

    Chukua Jimbo Steve, Utubadilishie Iringa yetu na Ally Hapi wetu.

    Kamwene baba mtemi wetu mpya,
    Steve wetu OYYYEEEEE

    ReplyDelete
  2. Umetisha Steve, Nasikia Mzigwa Halali
    usiku,plesha juu imempanda mpaka hsptl

    Chukua Jimbo Steve, Utubadilishie Iringa yetu na Ally Hapi wetu.

    Kamwene baba mtemi wetu mpya,
    Steve wetu OYYYEEEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad