Wanaume Wengine Njaa Ukimuomba Pesa Kidogo tu Anakutangaza Kwa Marafiki zake...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jamani Wanaume hii ni aibu ya karne!

Why umemtongoza mwanamke mwenyewe, umemuimbisha nyimbo mwenyewe unakuja kutuonyesha SMS za mpenzi humu eti ana njaa anaomba omba???

Are you serious or something? Tanzanian Men wake up!

I'm telling you, duniani hakuna cha burebure we elewa utakavyoelewa!! Huo ndo ukweli.
Mbona hata nyie mkikubaliwa kuingia kwenye uhusiano mkiomba mahitaji yenu mkikataliwa huwa mnakuja kulialia?? Why????? Na sisi wadada tuwafungulie Uzi??? Tena wengine siku ya kwanza.( Acha ujinga hudumia)

Eti MTU Roho inakuuma mpenzi kukuomba msaada sasa kama kutoa huduma huwezi ama kunakushinda si ujifungue ndani mwako kimya au uwe single for the rest of you life???

Kuna wengine watakuja na hoja dhaifu eti kwani huyo ni Baba yako or kwani wewe you don't have your money, hiyo ni hoja dhaifu na iliyokosa mashiko.

Kama huwezi hudumia bakia single. Kama huwezi kuhudumia usitongoze, kama huwezi kuhudumia Baki mwenyewe .Aibu ,aibu kubwa mkaka kuja JF na kuanza kutoa siri za mpenzi kakuomba Kavocha au pesa ya kusukia nywele.

Sasa unataka amuombe nani kwa Mfano?? Wewe si ndio umekuwa part yake sasa ndo mana mnashea mwili???( naongea kwa ukali kwa sababu this is too much na wengi wenu hamjui maana ya mpenzi) mmebaki mnabuni na mkiombwa mnabaki Kusononeka na kuanzisha Uzi(Aibu kubwa)

Kama huna kuna ubaya gani kumwambia mpenzi wako ' Dear sina kwa Leo labda siku ingine.Mbona sisi Ni waelewa????

Kama hamjui Wanaume waelewa wa najua nimeongea nini.Na wanaume waelewa wanafight mpaka kubeba magunia, kufanya kazi ngumu ili wahudumie wapenzi ama familia zao .That is how real men supposed to be.

Eti kwa nini ananichuna?? Hiyo Ni tafsiri hasi Hakuna anayekuchuna sema huna Tutakuelewa wala Sio kesi wala vita wala nini( ila jua kumhudumia Mpenzi au mke Ni jambo muhimu Na wajibu wako Na Ni la lazima) nimeshaongelea sana mada kama hii nyuma, nimeirudia baada ya kuona kuna wengine wanajitoa ufahamu Na Kuja kulia lia kwa kuombwa pesa ya salon ( Aibu sana hii)

Eti Sio Baba yako eeeeh mbona Wewe hukuenda kwa Mama??? Jamani msiparamie mambo msiyoyaweza .Kila jambo Na consequences zake Na hiyo Ni nature huwezi ipinga.
Eti unataka ukiwa Na mpenzi asikuombe kitu eti ndo wife material+ mngejua hao hao wasiowaomba wanavyowatoa kasoro?? ' yaani Nina mpenzi hanipi Hata matumizi kisa simuombi jamani Mimi ananiudhi sana swali why usimuombe?? Nikiomba ataniona cheap namwangalia kama atajiongeza mwenyewe mi sijazoea kuomba ila Sipendi kweli.

Fact Ni kwamba mwanamke yoyote anapokubari kuingia any relationship anajua sasa amepata wakumsaidia( huo ndo ukweli Na msijidanganye eti Nina mpenzi haniombi Na Wewe ukajisifu anakuhesabia siku tu( kama yupo wa hivyo ebu jaribu Leo Kumpa pesa ya matumizi uone kama atakataa Na Hata akikataa mwangalie machoni Hamaanishi.( Na nyie Wanawake mnaoshadadia eti ukiwa Na mpenzi humuombi pesa Acheni kuwaponda pembeni huo Ni Unafiki ili wengine tulio Openi tuonekane namna vipi
Mwisho.Mwanaume una wajibu wa kumtunza mpenzi hiyo Ni kwa mujibu wa utafiti kama kweli una nia naye.Kinyume Unajidanganya!!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad