Hivi ni Kweli Kuwa Kuna Laana ya Mwanamke au Mke kwa Mwanaume au Mume?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Unaweza ukamsikia mtu akisema:-

"Yule jamaa hakuwaga masikini vile kabisa zile ni laana za mke wake aliyemwacha"

Sasa je, ni kuna ukweli wowote kwamba wanaume wengi wanamaisha magumu ni kwasababu tu wamelaaniwa na wake au wanawake zao walioanza nao maisha na baada ya kufanikiwa wanaume hao waliwaacha wanawake hao na kuoa mke mwingine?

Hivi ni kweli kuwa:-

*wanaume waliowapa mimba wanawake na kuzikataa mimba hizo na kufanya mwanamke aishi maisha magumu basi wanawake hao wanauwezo wa kuwalaani wanaume hao na kuwafanya wapoteze muelekeo wa maisha kabisa?

*mwanamke akishinda analia kwa kuonewa, kunyanyaswa, kuteswa na kusalitiwa na mume wake basi kilio chake hicho hugeuka laana kwa mume wake huyo?

Hivi ni kweli wanaume wengi tunafilisika na hatutoboi kimaisha kwa sababu ya laana za wanawake tuliowatendea vibaya kipindi tupo hao mpaka wakawa wanakesha wakilia juu yetu?

Au hizi ni story tu zisizokuwa na ukweli wowote.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad