Breaking News: Mtangazaji Lil Ommy Atambulishwa RASMI Wasafi FM, Kuja Kuua Ufalme wa XXL ya Clouds

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtangazaji aliekuwa Times Fm Lil OMMY leo ametambulishwa RASMI ndani ya wasafi fm .

Lil OMMY leo anazindua RASMI kipindi Cha THE SWITCH ndani ya wasafi fm, kipindi kitakachokuwa kinaruka kuanzia saa 8 mchana hadi 10 kamili jtatu Hadi ijumaa

Wadau wanadau kipindi hichi kinakuja kuua Ufalme wa XXL Kipindi cha Clouds Ambacho kimekuwa kikitamba kwa miaka mingi kwa kuongoza kusikilizwa katika vipindi vya mchana
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad