Kauli ya Kocha wa Simba ni Utata kwa Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ameweka wazi kuwa mtaji mkubwa wa pointi walionao dhidi ya wapinzani wao Yanga ndio unawapa jeuri ya kuucheza mchezo wa kesho kiutani kwelikweli.



Sven ameyasema hayo leo kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa wao wamejipanga kucheza na kuchukua pointi ili mwisho wa siku watetee ubingwa wao.

“Tutacheza mchezo huu kama sio mchezo wa Ligi sababu kila mmoja anajua tumewaacha kwa alama kadhaa. Tutaucheza kama mchezo wa kweli wa wapinzani kwahiyo tunajiandaa kuchukua alama tatu na kusonga mbele ili mwisho wa msimu tushinde.” -Vandenbroeck.

Kwa upande wake nahodha wa Simba John Bocco amesema kuwa, “Sisi kama wachezaji tumejiadaa vizuri kwa mchezo wa kesho. Tunaahidi kwenda kucheza mchezo wa kujituma ili tuwafurahishe mashabiki wetu na ili tuweze kupata alama zote tatu”.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad