Masanja Ajisalimisha kwa DC Katambi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mchekeshaji maarufu hapa nchini Tanzania Masanja Mkandamizaji ameitikia wito na tayari amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

Wito wa mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi, ulitolewa jana ambapo Katambi alimtaka Masanja kujisalimisha ofisi ya DC au Polisi kwa mahojiano bada ya kuwahoji Watu Dodoma kuhusu corona.
OPEN IN BROWSER
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad