AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto.
Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto?
Je, nifanyeje?
Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine .
Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kwavile ulikoga hadhuriki
ReplyDeletehawezi kudhurika ila tu uwe na mmoja,kwani ukichanganya wanaume tofauti sio vizur na hautamtendea haki mwanao.
ReplyDeleteMtoto atanyonya uchafu may be atumie kondomu na aoge jasho
Deletepole sana na hongera kupata mwingine
ReplyDeletehawezi kuzulika
ReplyDeleteUkimaliza kuoga ukamue maziwa kwanza ndio umnyonyeshe mwanao hata kama ungelala na baba mtoto unatakiwa ufanye hivyo.
ReplyDeleteKama hukutumia kinga unaweza ukawa umempa mtoto magonjwa hasa ukimwi
ReplyDeletehahahahahaaaaaaa.... muongo! hahahahaaaaa
DeleteUngeulika kwanza kabla ya kufanya, saa hizi unaleta style ya kufunga mkokoteni mbele farasi nyuma
ReplyDeletehahahahaaaaa....
DeleteAnonymous august 2, 2015 at 9.08pm. Una akili sana what a nice answer. Nimeipenda
ReplyDeleteAnonymous august 2, 2015 at 9.08pm. Una akili sana what a nice answer. Nimeipenda
ReplyDeleteJaribu tigo tuuuu, huwezi pata tatizo wala mtoto hatadhurika
ReplyDeletedu!
DeleteDu!
Delete