Mtoto wa Miaka 4 Atangaza Tiba ya Corona Kenya..."Dawa ya Corona ni Bangi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtoto aliyetangaza tiba ya corona. Picha: Hisani

Tangu kukurupuka kwa virusi vya corona Wuhan Uchina na kisha kusambaa kote ulimwenguni huku shirika la shrika la afya ulimwenguni WHO likivitangaza kama janga la dunia, zimezuka juhudi za kila aina katika kutafuta kinga na matibabu  yavyo.

Madaktari wamekosa usingizi usiku kucha, mchana kuwa wakifanya kila jaribio mahabarani kupata jinsi wakavyofanikiwa kulipita teke janga hili la virusi vya corona.

Nchini Kenya, mtoto mwenye umri wa miaka minne ameiwasha mitandao baada ya video yake kusambaa akitangaza kile alichokitaja kama tiba halisi ya virusi vya corona.

Katika video hiyo, mtoto huyo anaonekana na kusikika akisema kuwa dawa ya corona ni bangi kisha video inaisha ghafla.

‘’Dawa ya corona ni bangi,’’ alisema katika video hiyo.


Ingawa haijabanika ikiwa bangi imejaribiwa mahabarani ili kuthibitisa kama inaweweza kuwa tiba kwa virusi hivyo, ni dhahiri kuwa mmea huo ni dawa kwa maradhi mengi.

Huku baadhi ya nchi zikiidhinisha makuzi na matumizi ya bangi, nchini Tanzania, bangi ni marufuku na yeyote anayepata akiitumia ana kuuza hukutana na mkono mrefu wa sheria.

Swali linalo salia ni je, madaktari wataweza kuuchukua ushauri wa mtoto huyo mdogo na kuufanyia mmea huo utafiti ili kuona kama unaweza kuwa suluhu la kudumu kwa janga la corona?

Tanzania yaripoti kifo chake cha kwanza kutokana na corona ...


Hadi Jumatatu, Aprili 13, nchi ya Tanzania imerecodi jumla ya visa 32, vifo 3 na watu watano kupona kutona na virsi hivyo.

Kutona na kasi  ya kusambaa kwa virusi hivyo, Rais wa Pombe Magufuli sasa amelazimika kuchukua hatua zaidi kwa kupiga marufuku ndege zote kutoka nje ya taifa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad