Mbunge Sugu amesema yupo Dar anakunywa supu ya Pweza, Bashite ni kichekesho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Mbeya Mjiji (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu amesema yupo Dar es Salaam na anapata supu ya pweza , Bashite ni kama kichekesho tu.

Sugu aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa “Niko zangu Dar napata supu ya pweza Bashite is just a Clown,”.

Jana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alitoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es salaam “kula bata” kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la kuzurura kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku.

Makonda amesema mbunge anaepaswa kuwa Dar es salaam ni yule mwenye Kibali au ruhusa ya Spika wa Bunge tofauti na hapo ni vyema wakafunga virago vyao na kurudi bungeni ili kuepuka kukamatwa.

“Hakuna asiyefahamu kuwa sasa hivi tuko katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na sio uzururaji, ifahamike huu sio mji wa wazururaji hivyo natoa saa 24 kwa wabunge wote kurudi Dodoma tofauti na hapo tutawakamata kwa kosa la uzururaji kama tunavyowakamata Machangudoa” alisema  Makonda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HIVYO WEWE KANYABOYA WA WAPI.

    UNAWEZA KUICHEZA NGOMA YA MH MAKONDA?

    NI MOTO WA KUOTEA MBALI. NA KAMA HUJAFIKA KURUDISHA PESA ZETU JIJINI DODOMA.. MIL 2,0040000. ITAIPATA NA UZURURAJI WAKO.

    MAMBO SASA YUKO IMARA NA ZITTO /LEMA/ BULYA WOTE WAKO NJIANI KUELEKEA KURUDISHA PESA ZA WALIPA KODI KAA KWENYE RUNINGA UONE KABLA HUJACHUKULIWA NA KUFUNGULIWA JALADA LAKO.

    DARESALAMA OYEEE...MAKONDA SAFIIII..!!!

    ReplyDelete
  2. HIVYO WEWE KANYABOYA WA WAPI.

  3. HIVYO WEWE KANYABOYA WA WAPI.

Top Post Ad