AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Muandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita Ijumaa hii alitua Baraza la Sanaa Tanzania BASATA kwaajili ya kumalizana na Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki ambaye alidai kudhulumiwa pesa zake ambazo aliahidiwa kama mshindi. Naye Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Godfrey Mngereza amedai Meshak siye aliyeandika barua ya kulalamika kutolipwa kwa pesa zake:
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Utapeli na ubabaishaji hatumtaki.
ReplyDeleteHuyu Dogo kalipwa Mil5.
Na anamumunya maneno na Mngeleza NI Lazima urudi KATIKA runinga kutuelezea Kayumba anasaidiwaje kijana huyu na Meshack milioni 45 zilizo baki analipwa mikupuo mingapi.
Tuaidanganyane kuse. A analipwa halafu Wana ingia mitini kama w alivyo zoea huko nyumba.
JPJM Oyeee... Mwakyembe Safi..!!
Shonza Oyeee... Mngeleza Safi...
TUHAKIKISHE HAKI ZA HAWA CHIPUKIZI ZINAWAFIKIA.
Kichwa Cha Habari NI potofu na kina mabaki baki.
ReplyDeleteHAWAJAMALIZANA. IMEONESHA NIA IPO