Rais Magufuli ''Waagonjwa Wamepungua Amana inalaza Watu 12''

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



“Mungu ametusaidia na kwa taarifa za leo wagonjwa wamepungua sana Amana ilikuwa inalaza Watu 198, leo walikuwepo Watu 12 tu, Mlogonzila ilikuwa inalaza Watu 30 leo wamebaki 6, pale Kibaha Hospitali ilikuwa inalaza zaidi ya Watu 50 leo wamebaki Watu 22”-JPM
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizi zote NI Neema na Rehema ZAKE anaepaswa kuabudiwa kwa HAKI.

    Jemedari wetu Tunakuelewa.
    Na WASIO kuelewa WATAKUELEWA siku zijazo kama wako Hai panapo Uhai.

    Tumtangulize MUNGU SIKU ZOTE na tumtegemee kwa yote. Na Tahadhari na Ushauri tufate.

    Asante JPJM. MUNGU AKUPE AKULINDE AKUJAALIE AFYA NA UMURI MREFU.

    Asante kwa Sukari Baba mpaka kwetu Kondoa Irangi tumeanza kuona na bei elekezi. Hivi Kesho tunakwenda kisomoni DODOMA kukuombea Allah akuepushe na Hasadi Baba.

    Ramadhan Kareem

    ReplyDelete

Top Post Ad